Welcome to Tanzania's Mining Cadastre Portal

Welcome to the Online Mining Cadastre Transactional Portal of the United Republic of Tanzania. The goal of this portal is to provide an electronic platform for all stakeholders in the mining sector in Tanzania to engage directly with the Ministry of Energy and Minerals.

The Portal is open for the registration of holders of  valid Licences under Division A, B, licence  C and D. Once registered, users can view their portfolio of licences, submit reports. and update their personal and company contact details. Registered users will be notified when they can apply for new tenements, undertake renewals, extensions, relinquishments and surrenders, as well as make online payments

To use the portal, you are first required to register in person through Head Office (for Division A and B Licences) and at Zonal Mines Offices and Resident Mines Offices for Division C and D Licences. You can find out more about the process as well as download the required forms by clicking the appropriate links in the menu. The video below describes the registration process.

Karibu kwenye Tovuti ya Huduma za Leseni kwa njia ya Mtandao inayomilikiwa na  Serikali ya Tanzania. Lengo la Tovuti hii ni kuwawezesha Wadau wa Sekta ya madini kuwasiliana na Wizara ya Nishati na Madini kwa njia ya kielektroniki..

Tovuti hii inawawezesha wamiliki wa leseni halali za madini za madaraja A, B,  C na D kujisajili kwenye huduma za leseni kwa njia ya Mtandao. Watu waliosajiliwa wanaweza kuona taarifa za leseni zao walizosajili, na pia kuweza kuhuisha taarifa zao binafsi na taarifa za Kampuni wanazowakilisha. Wizara itatoa taarifa kuhusu tarehe ya kuanza kwa huduma zaidi kama kuomba leseni mpya, kuhuisha leseni, na huduma nyingine ikiwa ni pamoja na kufanya malipo kwa njia za kielektroniki.

Ili kuanza kutumia huduma ya leseni kwa njia ya mtandao, unatakiwa kujisajili kwenye ofisi zetu zilizopo Makao Makuu ya Wizara (kwa wamiliki wa leseni za madaraja A na B); na katika ofisi za Madini za Kanda na Wakazi (ZMO/RMO) kwa wamiliki wa leseni za madaraja C na D. Unaweza kupata taarifa zaidi za jinsi ya kujisajili na kutumia huduma hii kwenye Ukurasa huu. Maelezo ya namna ya kujisajili yanatolewa kwenye video hapa chini.